Musoma News hub ni Tovuti/Jukwaa la Habari kwa ajili ya kukusanya, kuhariri na kusambaza taarifa mbalimbali kutoka vyanzo tofauti vya habari kwa lengo la kuwapa wasomaji, watazamaji au wasikilizaji taarifa kwa urahisi na kwa wakati mmoja Kupitia tovuti, kurasa za mitandao ya kijamii pamoja na ofisi inayokusanya habari kutoka maeneo mbalimbali Tanzania na duniani