Je Unatafuta Ubia Kwa Ajili ya Uwekezaji?

0


TISEZA ni mshirika wako wa kimkakati katika uwekezaji Tanzania. 

Tunakuwezesha kupata ardhi na maeneo ya uwekezaji (SEZ), leseni na vibali, vivutio vya kikodi na visivyo vya kikodi kupitia huduma pahala pamoja (One Stop Centre) ili kurahisisha na kuharakisha uwekezaji wako.

📞 Wasiliana na TISEZA leo na uanze safari ya uwekezaji wako.

TISEZA – Tunakuwezesha kupata Wabia kwa Miradi ya Uwekezaji.

chanzo:TISEZA

Chapisha Maoni

0 Maoni
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Chapisha Maoni (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top