Akitangaza matokeo hayo Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Bukoba Mjini, Shabani Mdoe ametangaza kura za maoni ambapo amewataja wengine waliogombea kuwa ni Alex Denis Kura 804 , Almasoud Kalumuna kura 640 Jamila Hassan kura 66 na Koku Rutha kura 44
Amesema kuwa wapiga kura waliojiandikisha ni 3033 waliojitokeza kupiga kura ni 2978 zilizoharibika ni kura 20 na kura halali ni 2958.