TECMN Yawasilisha Mapendekezo ya Utekelezwaji wa Sera ya Elimu Kwa Wizara ya Elimu

0


Wadau na wanachama wa Mtandao wa Kutokomeza Ndoa za Utotoni Tanzania ( TECMN ) Siku ya jana Jijini Dodoma, tumekutana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Wilson Mahera katika mkutano ambao tumewasilisha mapendekezo kuhusu utekelezwaji wa sera ya elimu na mpango wa kuwezesha watoto wa kike kurudi shule baada ya kukatisha  masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito (re-entry)

Ahadi ya wizara ya kujumuisha asasi za kiraia wakiwemo wadau na wanachama wa TECMN katika hatua mbalimbali za mchakato wa utekelezwaji wa programu za re-entry, ni ahadi tunayotarajia kuwa itaboresha haki ya elimu kwa watoto wa kike na pia hatua muhimu katika kukomesha mimba na ndoa za utotoni nchini Tanzania.

#ArudiShule #GirlsRights


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top