Fursa ya Zawadi ya Haippa Katika Safari ya Siku 1000

0





Kama Sehemu ya Kuenzi Safari ya Siku 1000 za HAIPPA PLC Kupitia Mfuko wa HISANI wa HAIPPA Tunatoa ZAWADI ya HISA 15,000 kwa Watu 300.

A: Ni Vijana  50 Jinsia Ke Wenye Ndoto Kubwa Waliohitimu High School Mwaka Huu Wanaojiandaa Kwenda Chuo Kikuu watakaonunua na Kufikisha Hisa 20 za HAIPPA kabla ya July15

B: Vijana 50 wa Kiume Wenye Ndoto Kubwa Waliohitimu High School Mwaka Huu Wanaojiandaa Kwenda Chuo Kikuu  watakaonunua na Kufikisha Hisa 20 za HAIPPA kabla ya July15

C: Watu Wenye Ulemavu  50 Jinsia Ke Wenye Ndoto Kubwa Kwa ajili ya Familia Watakaonunua na Kufikisha Hisa 50 za HAIPPA kabla ya July15

D: Watu Wenye Ulemavu  50 Jinsia Me Akinababa Wenye Ndoto Kwa ajili ya Familia  watakaonunua na Kufikisha Hisa 50 za HAIPPA kabla ya July15

E: Wanawake 50 ambao ni Single Mothers ambao Wana Ndoto Kubwa Kwa ajili ya Familia  Watakaonunua  na Kufikisha Hisa 50 Kabla ya July15

F; Watoto 50 Umri Chini ya Miaka 16 ambao ni Yatima au Baba zao Wamefungwa au Ni Wagonjwa wa Muda Mrefu Wanahitaji Msaada Kuendeleza Ndoto zao. Hawa nitumieni Majina, anwani za Mahali Walipo na Mawasiliano ya Walezi wao. 


Hatuachi Mtu HAIPPA PLC ni Kampuni ya Watanzania Wote

Kama unamfahamu Mtu Mmoja anayeangukia kwenye Moja ya Makundi Hayo Basi mwambie afungue Akaunti ya HAIPPA Niko na Zawadi yake ya Hisa 50. 

Kufungua Akaunti PIGA Tembelea www.Haippa.Net au Piga  *149*46*23#

Tupigie: 0755947943

 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top