Baadhi ya
taarifa husambazwa na Watu bila kujua ni si sahihi na nyingine uandaliwa na
kusambazwa kwa makusudi ili kupotosha umma.
Kabla ya
kuamini taarifa unayoiona mtandaoni na kuisambaza fahamu ya kwamba,Kuongezeka
kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, kwenye facebook, Twitter, Tik tok,WhatsApp
na majukwaa mengine ya kidijitali kumefanya wananchi kupokea taarifa nyingi
kila siku, lakini si kila taarifa inayofika kwenye simu zao huwa ya kweli,
sahihi.
Baadhi ya
taarifa husambazwa na watu bila kujua kuwa si sahihi, hali inayoweza kuitwa misinformation.
Nyingine huandaliwa au kusambazwa kwa makusudi ili kupotosha umma, hali
inayojulikana kama disinformation. Taarifa hizo zinaweza kuathiri
maamuzi ya watu, kuongeza hofu, kuchochea migawanyiko au kuharibu sifa za mtu
au taasisi.
Ebu tuambie kwa unapopokea
taarifa Unapopokea kwenye simu yako huwa unafanya nini kabla ya kuiamini au
kuisambaza?
Je, huangalia chanzo,
kutafuta ushahidi au kulinganisha na taarifa kutoka vyanzo vingine? Au wakati
mwingine unaamini kwa sababu tu imetumwa na mtu unayemfahamu?
#Misinformation
#Disnformation
#HumanCenterDesign

.png)
