Elimu: Fahamu Kanuni za Ubora wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Kuhusu Kutiririsha Maji Taka Ndani ya Jengo la Mteja

0


 

# AFYA NA USALAMA

Kanuni za ubora wa huduma za Maji na Usafi wa Mazingira( Ubora wa Huduma na Leseni za Mwaka 2020; Tangazo la serikali Na: 849, Viwango vya ubora wa huduma pamoja na gharama za fidia kwa kushindwa kufikia viwango vilivyowekwa. Kanuni ya 34(3) inazitaka mamlaka za maji zilizopewa leseni kufikia viwango vya kutoa huduma zitakazowajibika kulipa fidia kwa waathirika.

Kanuni za ubora wa huduma za maji na usafi wa Mazingira inaeleza kuwa kwa mtoa huduma kutiririsha maji taka ndani ya jengo la mteja , Kwamba  Maji taka kutoka  katika mfumo wa maji taka uliowekwa na mamlaka ya maji hayapaswi kuingia katika jengo la mteja na endapo mtoa huduma atashindwa kufikia viwango vilivyowekwa mtoa huduma atamlipa mteja shilingi 50,000.00 fidia ya msingi na shilingi 20,000 kwa kila siku inayoongezeka bila tatizo kutatuliwa.

Imeandikwa na Emmanuel Chibasa

Chanzo: ewura ccc

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top