TAMWA na GIZ Wazindua Mradi wa Sauti Zetu Unaolenga Kupinga Ukatili wa Kijinsia Mtandaoni

0





 TAMWA kwa kushirikiana na GIZ, imezindua mradi wa Sauti Zetu unaolenga kupaza sauti kupitia vyombo vya habari ili kupinga ukatili wa kijinsia mtandaoni dhidi ya wanawake na watoto.

Mkurugenzi wa TAMWA Dr Rose Reuben amesema mradi wa 'Sauti Zetu' utatoa  elimu kuhusu ukatili wa kijinsia mtandaoni kupitia vyombo vya habari, ili jamii itambue umuhimu wa kuripoti matukio ya udhalilishaji katika mamlaka husika na hivyo kupata haki.

Chanzo: TAMWA

@German Embassy  European Union in Tanzania 


Chapisha Maoni

0 Maoni
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Chapisha Maoni (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top