Kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika
Leo hii, Jukwaa la Haki za Mtoto Tanzania (@tcrf_tz ) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo Save the Children, wamewakutanisha Baraza la Watoto Ngazi ya Taifa katika Chuo cha ustawiwa Jamii, Dar es Salaam, kwa ajili ya:
✅ Mkutano Mkuu Baraza la watoto kwa ajiri ya kuchagua uongozi wa baraza hilo
✅ ukusanyaji wa maoni ya watoto kuhusu utekelezwaji wa Mkataba wa Umoja wa Africa kuhusu Haki na ustawi wa mtoto
Tunaendelea kusikiliza sauti ya mtoto na kuimarisha ushiriki wao katika maamuzi yanayowahusu.
Chanzo: Save The Children Tanzania
#DayOfTheAfricanChild #ChildRights #DAC2025