Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa leo tarehe 09 Juni 2025.
Dkt.Philip Mpango Ashiriki Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Bahari (UNOC3)
Juni 09, 2025
0
Shiriki kwenye programu nyingine








