DFC na Tanzania Kujadili Mkakati wa Kuwavutia Wawekezaji wa Kimarekani

0


Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz alikutana na timu hiyo katika kazi yao ya kuwezesha kufikiwa mikataba zaidi kati ya Marekani na Tanzania.

#Ubalozi wa Marekani Tanzania

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top