Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza kwa usajili Miradi Katika kituo Cha uwekezaji Tanzania(TIC)
Kwa mujibu wa ripoti ya kituo uwekezaji Tanzania ya usajili wa miradi kwa Mikoa katika kipindi cha Januari - Machi 2025, Mkoa wa Dar es Salaam unashika nafasi ya kwanza, Mkoa Pwani unashika Nafasi ya Pili, Arusha nafasi ya tatu, Dodoma Nafasi ya nne huku mikoa ya Geita na Morogoro ikishika nafasi ya Tano.
Chanzo: Kituo Cha Uwekezaji Tanzania